Mwandishi: Kimani wa Mbogo

Victor Mulama; Bingwa Anayeghani Mashairi

Victor Mulama; Bingwa Anayeghani Mashairi

Victor Mulama ni mshairi ambaye amesikika akighani mashairi katika idhaa ya Radio Maisha kwenye kipindi cha Nuru ya Lugha  na  baadhi ya mashairi kuchezwa kwenye  kipindi cha Ramani ya Kiswahili K.B.C Redio taifa. Mashairi yake yametumika kwenye tamasha za mziki. Pia  amealikwa kwenye baadhi ya makongamano na warsha za Kiswahili, harusi, sherehe mbalimbali na hata …

Soma Zaidi Victor Mulama; Bingwa Anayeghani Mashairi